ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Hadi unaona raha ya kuolewaKweli tena, kuna wamama wanapenda kuona wake wa watoto wao wanang'ara muda wote, wasiwe na purukushani purukushani, ili mradi jikoni aingie + usafi.... Hapo ataona mwanae anafaudu sana....