Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5. Kuahirisha matumizi.
Ni bora kusitisha ununuzi wa bidhaa au huduma isiyo na ulazima kwa siku, wiki au miezi kadhaa. Kusitisha manunuzi husaidia kufanya tafiti juu ya soko pia, husaidia kupunguza hamasa au ushabiki katika matumizi
 
246133094_213137.jpg
 
6. Kupunguza matumizi ya kadi.
Mageuzi ya teknolojia yamewezesha watu kuwa karibu zaidi na fedha zinazohifadhiwa benki. Pia teknolojia imewezesha kufanya manunuzi kwa kutumia kadi za ATM.
Pia inashauriwa, kupunguza kiwango cha fedha za tahadhari mtu anazokuwa nazo popote aendapo.
 
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro amekamatwa na Polisi kutokana na ujumbe alioutuma katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook unaodaiwa kumkejeli Rais John Magufuli.

Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa chama hicho, Mbarala Maharagande katika taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema Mtatiro amekamatwa jana Julai 5, 2018 na hadi sasa anashikiliwa na polisi.
 
Amesema mwenyekiti huyo katika ukurasa wake wa mtandao wa facebook ameandika, ‘rais kitu gani bwana’.

“Juzi Mtatiro alipokea simu ya wito wa kuhitajika kituo kikuu cha polisi Dar es Salaam. Jana alikuwa amealikwa kama mmoja wa wageni wawezeshaji wa mjadala na taasisi ya Twaweza katika kongamano la kujadili maoni ya wananchi kuhusu kushiriki maandamano na siasa,” amesema Maharagande.
 
Ilipofika saa tatu asubuhi akiwa anaelekea huko alipigiwa simu kujulishwa afike kituoni hapo saa nne asubuhi. Niliambatana naye mpaka kituoni hapo na tulipokelewa na ZCO na kujulishwa kuwa anahitajika achukuliwe maelezo yake kuhusu ujumbe alioutuma katika mtandao huo.”

Amesema, “Tukakabidhiwa maofisa wa polisi wa kufanya kazi hiyo. Wakati wa kuanza kuchukuliwa maelezo yake alielezwa kuwa anatuhumiwa kwa kutuma ujumbe wa kejeli na kashfa dhidi ya Rais Magufuli kupitia mtandao wa kijamii.”
 
Amesema walirejea tena kituoni hapo saa 4 usiku na maofisa wa polisi walimueleza kuwa wataendelea kuwa naye mpaka leo asubuhi, “Walisema watatujulisha kama watampatia dhamana au vinginevyo.”

Amebainisha kuwa Mtatiro amewataka wanachama wa CUF kutokuwa na hofu juu yake, wajitokeze kwa wingi mahakamani
 
4. Kuepuka majina ya makampuni.
Yapasa kufanya uchambuzi kuhusu ubora na gharama, na si kununua bidhaa kwa kuwa imetengenezwa na kampuni fulani. Baadhi ya makampuni makubwa hutengeneza bidhaa hata zilizo chini ya kiwango, lakini hupata manunuzi makubwa kwa kuwa hufanikiwa kutangaza, kutoa punguzo la bei n.k
Wao wanakwambia wananunua brand
 
Back
Top Bottom