Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo Wasukuma wana shida humu [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20180706-073839.jpg
 
Ni uhuru wake kabisa kuamini na kuabudu cho chote anachotaka. Ila tu atambue unafiki ni tabia asili ya binadamu na hauchagui dini, taifa, kabila wala tabaka. Na yeye mwenyewe pia inabidi ajipeleleze nafsini kwa sababu yawezakana tatizo hasa limo ndani yake. Mchango wake katika nyimbo za injili za kisasa (biashara) ni mkubwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wachungaji walimtumia sana na music industry Tz inachangamoto sana hasa kwa upande wa Injili
 
Leo kuna operation kubwa Dar ya kukamata (Nyakua) Drivers waliokunywa Pombe kupita kiwango.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemfukuza kikaoni Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa kwa kuchelewa kufika kikaoni-MCL

HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo, kumshusha cheo Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya Leopold Fungu-MCL

HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameagiza Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto Mkoa wa Kagera, George Mrutu ashushwe cheo-MCL
Mambo moto moto
 
Back
Top Bottom