Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
Ni uhuru wake kabisa kuamini na kuabudu cho chote anachotaka. Ila tu atambue unafiki ni tabia asili ya binadamu na hauchagui dini, taifa, kabila wala tabaka. Na yeye mwenyewe pia inabidi ajipeleleze nafsini kwa sababu yawezakana tatizo hasa limo ndani yake. Mchango wake katika nyimbo za injili za kisasa (biashara) ni mkubwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
Hayo ni mambo madogo sana.....Pia kuna uwezekano mkubwa akawa yupo kibiashara zaidi kuliko wokovu..
 
Leo kuna operation kubwa Dar ya kukamata (Nyakua) Drivers waliokunywa Pombe kupita kiwango.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemfukuza kikaoni Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa kwa kuchelewa kufika kikaoni-MCL

HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo, kumshusha cheo Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya Leopold Fungu-MCL

HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameagiza Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto Mkoa wa Kagera, George Mrutu ashushwe cheo-MCL
 
Moto wa mabua......
 
Back
Top Bottom