HahahahaHahahahaha! Leo nimekula kande
Haya mamito najaHapo hapo njoo tule pizza
Ndio[emoji23]Duuuu
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo mama mkwe analala macho juu juu...???IMAGINE
Upo ukweni, usiku ukataka kwenda uwani na ndani hakuna umeme sasa unajaribu kupapasa ukuta kuelekea mlangoni, kwa bahati mbaya unagonga vyombo visufuria na vibakuli vya bati vinapiga kelele, wakati unajaribu kuvikusanya anatokea MAMA MKWE anakumulika na tochi anakukuta una sahani mkononi anasema BABA kama hukushiba ungeniambia....