[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Bila shaka na hapa watasema ni wasukuma.Leo Wasukuma wana shida humu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 803704
Wao wanakwambia wananunua brand4. Kuepuka majina ya makampuni.
Yapasa kufanya uchambuzi kuhusu ubora na gharama, na si kununua bidhaa kwa kuwa imetengenezwa na kampuni fulani. Baadhi ya makampuni makubwa hutengeneza bidhaa hata zilizo chini ya kiwango, lakini hupata manunuzi makubwa kwa kuwa hufanikiwa kutangaza, kutoa punguzo la bei n.k