Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmh kumbe kuna watu wanachukulia kila kitu humu serious??...aiseeh...
Atakae chukulia serious atakuwa wa ajabu. Hata haujui una chat na nani!! Labda ni shangazi/dada/kaka/mjomba,who knows? Don't take it serious na usiruhusu kugombana na mtu humu maana utaumia tu. Hatujuani, zaidi ni utani ndio maana tunapokezana hata kuingia humu jukwaani. Je, unanipenda?
 
Back
Top Bottom