myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Toa like upate likes
Huu Uzi ni shidaaaYes We Can...
Uzi huu ulianza kimchezo mchezo tu. Ona leo sasa. Umeua nyuzi zingine kabisa. Nina karibu 2 weeks sijagusa jukwaa la siasa wala kwingine...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Mkuu sio wa hivyoooAndjul njoo kuna mtu anakutafuta huku!![]()
NdioAtakae chukulia serious atakuwa wa ajabu. Hata haujui una chat na nani!! Labda ni shangazi/dada/kaka/mjomba,who knows? Don't take it serious na usiruhusu kugombana na mtu humu maana utaumia tu. Hatujuani, zaidi ni utani ndio maana tunapokezana hata kuingia humu jukwaani. Je, unanipenda?
We acha tu! hahahahaHuu Uzi ni shidaaa
Kula like ukae sawaAtakae chukulia serious atakuwa wa ajabu. Hata haujui una chat na nani!! Labda ni shangazi/dada/kaka/mjomba,who knows? Don't take it serious na usiruhusu kugombana na mtu humu maana utaumia tu. Hatujuani, zaidi ni utani ndio maana tunapokezana hata kuingia humu jukwaani. Je, unanipenda?
buzitata ndio maana namkumbuka kila day arudiHata likes wameanza kupuuzia tena. Kichwa Kichafu fanya kazi yako please!