mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu JPM anafanya mazuri mengi naona kasoro yake ni matamko yake mengi yana ukakasi sanaNawaangalia hata Wamarekani hapa wanavyohenya na huyu rais wao ambaye kila linalomjia kichwani analitamka tu bila kufikiri kama lina madhara ama la! Kazi kweli kweli !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Research says 97% of people fake cough in the toilet when they hear footsteps[emoji252][emoji252]...
[emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493] Case closed don't argue with me
HahahahaKUULIZA SI UJINGA
Ati Mtoto mwizi kwa kiingereza Ndio tunaita WIZKID? Ama
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
Acha kuuliza maswali gonga likes utapata majibuHivi likes kazi zake hasa ni zipi? Mfano ukipata nyingi sana inakuwaje..?
Hahahaha hapo sawa brazi must goEti eee hahahahah team france
Brazil nao soon out
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi haya majibu umesomea wapiKama ni mwanamke unakuwa na kiuno feni, kama ni mwanaume nguvu za kiume zinakuwa maradufu.....Mnyama Simbaaaaaaaaaa.
Morning consuela
Wapi BAK
Yaani pyaar huyu akikulalia kifuani unachomwachomwa na konzi hizo full mzuka
Poa kabisa morning mkuuHabari ndugu waungwana.
Mwambie anitafute
Ndio hali halisiKinachoendelea Urussi hata siamini hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatamani jibu liendane na hali halisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili jibu zuri sana aisee, ila tatizo ni moja tu mimi sina like nyingii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asante kwa taarifaNAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.
DAR - ARUSHA = Basi la kawaida 22,700/=, Semi luxury bus 32,800/=, Luxury bus 36,000/=
DAR - BABATI via ARUSHA = Basi la kawaida 29,000/=, Semi luxury bus 41,800/=, Luxury bus 45,900/=
DAR - BUKOBA via DODOMA = Basi la kawaida 55,100/=, Semi luxury bus 77,300/=, Luxury bus 85,000/=
DAR - DODOMA = Basi la kawaida 16,700, Semi luxury bus 24,100/=, Luxury bus 26,400/=
DAR - IRINGA = Basi la kawaida 18,300/=, Semi luxury bus 26,300/=, Luxury bus 28,900/=
DAR - KIGOMA = Basi la kawaida 58,800/= Semi luxury bus 80,900/=, Luxury bus 88,900/=
DAR - LINDI = Basi la kawaida 17,800/= Semi luxury bus 24,400/=, Luxury bus 26,800/=
DAR - MBEYA = Basi la kawaida Basi la kawaida 30,700/=, Semi luxury bus 44,300/=, Luxury bus 48,700/=
DAR - MOROGORO = Basi la kawaida 7,100/=, Semi luxury bus 10,300/=, Luxury bus 11,300/=
DAR - MOSHI = Basi la kawaida 19,800/=, Semi luxury bus 28,500/=, Luxury bus 31,300
DAR - MTWARA = Basi la kawaida 21,500/=, Semi luxury bus 29,700/=, Luxury bus 32,600/=
DAR - MUSOMA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 50,800/=, Semi luxury bus 73,200/=, Luxury bus 80,500/=
DAR - MWANZA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 42,600/=, Semi luxury bus 61,400/=, Luxury bus 67,500/=
DAR - SHINYANGA = Basi la kawaida 36,600/=, Semi luxury bus 52,700/= Luxury bus 57,900/=
DAR - SINGIDA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 25,500/=, Semi luxury bus 36,800/=, Luxury bus 40,400/=
DAR - SONGEA = Basi la kawaida 35,000/=, Semi luxury bus 50,600/=, Luxury bus 55,500/=
DAR - SUMBAWANGA = Basi la kawaida 45,100/=, Semi luxury bus 62,100/=, Luxury bus 68,200/=
DAR - TABORA = Basi la kawaida 39,000/=, Semi luxury bus 54,700/=, Luxury bus 60,100/=
DAR - TANGA = Basi la kawaida 12,800/=, Semi luxury bus 18,500/=, Luxury bus 20,300/=
DAR - KIBAHA = Basi la kawaida 1000/=, Semi luxury bus 1,500, Luxury bus 1,600/=
BrazukaPigaaaaaaaaaa bra
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kama wanamchezaji anakaa chini Dk 14 tangu WC hii kuanza wanastahili nini zaidi ya kipigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]brazil bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]