Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 803923 Huu uwimbi umenigusa sana!
Kwa kweli sina la kumrudishia Mwenye Enzi Mungu kwa wema na rehema zake juu ya maisha yangu walahi!
Bali ni sifa na shukrani!
Yeaaa, hatuna budi kushukuru, ni wengi walitamani kuwepo dunia hii lakini hatupo nao...Wengi walitamani kuwa nafasi uliyopo lakini haikuwa hivyo...Basi ni vyema tumshukuru Mungu kwa kile tulichonacho kwa maana mimi/wewe sio bora/mtakatifu kuliko yule...Ni mapenzi ya Mungu.....
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
.
FB_IMG_1530896774476.jpg
 
True!
By grace of the Almighty One Supreme Creator walahi
 
Back
Top Bottom