Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Halafu mara nyingi watu wenye kutia moyo wenzao namna hii wenyewe ndo huwa hawajiwezi kabisa. Ukisoma makwotesheni ya akina Hemingway utahamasika kweli. Kumbe wenyewe waliishia kujiua...
Hahaha Bro ila kwetu sisi wasomaji inakuwa vzr,, wanakuwa wamefikisha kile walichokusudia na walichobarikiwa na Mungu!!! Tunashukuru kwa hilo,, hayo ya kujiua yanakuwa private issue
 
445732884_227508.jpg
 
Back
Top Bottom