Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Mkeo akikwambia mume wangu oa mke mwingine tuwe wawili nimekuruhusu, usikurupuke ukashangilia kama zuzu, jiulize kwa wema upiiiii?? Maana ni sawa na uwe unazurula usiku ukutane na difenda ya polisi wakwambie panda tukupe lifti*
 
Katika kikao chake na wakuu wa taasisi zilizo chini ya wizara yake,waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugora ameongea mambo mengi kama mwongozo kwa wasaidizi wake,miongoni mwa mambo hayo amewataka.

1.Wakuu wa taasisi(Jeshi la Polisi,Magereza,Zimamoto na NIDA) kuhakikisha wanakuwa na ilani ya chama cha mapinduzi kwa pamoja na kuwa siyo wanasiasa lakini wanatekeleza ilani ya CCM.

2.Kuhusu wako wapi watu waliotoweka?Mh Kangi amesema Serikali haiwezi kuingilia faragha za watu,kwani inawezekana watu hao wamekwenda kusaka maisha.
 
Mmiliki wa Hifadhi wa Sibuya, Nick Fox katika taarifa yake kwenye ukurasa wa Facebook wa mbuga hiyo amesema watu hao wanao sadikiwa kuwa ni majangiri waliingia katika mbuga hiyo jumapili usiku au mapema siku ya Jumatatu asubuhi.
 
Back
Top Bottom