Duh!!!! Msibani wanakuwa busy na simu hivyo??
Mzuka unaendelea
3. Kuficha malengo.
Mtu afiche matarajio yake au dhamira za matendo yake. Kuweka malengo hadharani huwafanya watu wenye nia mbaya kujipanga na kuvuruga malengo husika. Mtu akinge malengo yake na ikiwa yatagundulika iwe nyakati za mwisho; nyakati ambazo wapinzani hawawezi kuweka vikwazo.
Leo tupo pamojaSweden & Russia out...England & Croatia in.
PamojaSawa mkuu nikija huko nitakutafuta
Tukitolewa tutafarijiana [emoji4]Leo tupo pamoja
Nipo mkuuMzee wa Liver upooo
Nimekuelewa vibaya sana upo hapo mkuuMzee wa Liver najua utanielewa kirahisi sana.View attachment 804222
Nilitaka kukuambia msalimie fulani lakini nitakuja mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa Liver najua utanielewa kirahisi sana.View attachment 804222
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa tutaandaa pati ya kufarijianaTukitolewa tutafarijiana [emoji4]
Siyo rahisi kwisha walahiMzuka unaendelea