Katika kikao chake na wakuu wa taasisi zilizo chini ya wizara yake,waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugora ameongea mambo mengi kama mwongozo kwa wasaidizi wake,miongoni mwa mambo hayo amewataka.
1.Wakuu wa taasisi(Jeshi la Polisi,Magereza,Zimamoto na NIDA) kuhakikisha wanakuwa na ilani ya chama cha mapinduzi kwa pamoja na kuwa siyo wanasiasa lakini wanatekeleza ilani ya CCM.
2.Kuhusu wako wapi watu waliotoweka?Mh Kangi amesema Serikali haiwezi kuingilia faragha za watu,kwani inawezekana watu hao wamekwenda kusaka maisha.