AmenBwana Yesu asifiwe..
Poa mazeeWale watu wangu wa kitaa niaje
Hapana hatujuiHivi mnajua leo jumamosi!?
Saturn DayLeo jmosi,
[emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee hatari sana
Saba saba ohooooTena Leo ni tar 7.7.2018
Andaeitini ulikuta mambo ya sabasaba yangalipo? I doubt it [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Niliwahi shuhudia 77 moja usukumani ilikuwa ni shida.. ni mwendo wa kupishana na baiskeli zimebeba mbuzi..
Hii imekula kwa watu*MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018*
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
*SASA ONA MAAJABU...*
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua *Free Mansons* wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda.
Kama vya mabinti wa Kizaramo[emoji16][emoji16][emoji16]Viuno feni
Kabisa mkuu sisi wahenga ndio tunajua hiloMjue siku kama hii miaka mingi iliyopita ilikuwa ni siku kubwa kuliko Sherehe yoyote ile mnayoijua
HahahahaWaafrika bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
***************************
Timu ambayo haina mweusi kabisa kupenya itakuwa ngumu. Viva Africa
Hahah!!Kama vya mabinti wa Kizaramo [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku hizi imeamia nane naneUsukumani aisee ilikuwa funga mwaka. Ngoma za kila aina halafu kila mtu jioni na mzigo wa miwa. Mataya yalikuwa yanauma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kafungwa Brazil JanaMbona kama zinafungwa?
Na mashindano ya baiskeliNiliwahi shuhudia 77 moja usukumani ilikuwa ni shida.. ni mwendo wa kupishana na baiskeli zimebeba mbuzi..