Masihara hakuna mkuuMkuu wabongo wa ulaya naona wanakaza safari hii
YapLikes+ lunch
Duuh! Basi anajua kujamiiana sanaNdiye uwa anagonga likes kiana hapa
Mambo vipi?Naam mkuu
Asiye na mtoto aeleke jiweMwenye macho haambiwi tazama askari
Kama upiKila mchezo kwangu fainali
Ndio...Wanakanyaga pedeli hatari.Na mashindano ya baiskeli
Hahah!! Bila kiuno feni siweki kambi hapo mkuuUshawahi kukutana nacho
AMEN[emoji144]♂️[emoji144]♂️#UPAKO#
GAL 5:14
"Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako"
Wakati tunasemana vibaya, tunachekana pale ndg anapodondoka au kujikwaa, akifanikiwa tunachukia au kumpongeza kwa shingo upande. Sheria ya Mungu inatutaka tupendane kama unavyojipenda mwenyewe. Hakuna mwanadamu ambaye anaweza jicheka anapo anguka au kutofurahia mafanikio yake.
TUJAZWE PENDO LA KWELI NA SIO UNAFIKI
[emoji1488][emoji1488]
Mkuu umekuja kipasta pasta leo naona unafukuzia mtoto wa Mchungaji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]#UPAKO#
GAL 5:14
"Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako"
Wakati tunasemana vibaya, tunachekana pale ndg anapodondoka au kujikwaa, akifanikiwa tunachukia au kumpongeza kwa shingo upande. Sheria ya Mungu inatutaka tupendane kama unavyojipenda mwenyewe. Hakuna mwanadamu ambaye anaweza jicheka anapo anguka au kutofurahia mafanikio yake.
TUJAZWE PENDO LA KWELI NA SIO UNAFIKI
[emoji1488][emoji1488]
Ulikuwa hujui?Pyaar under 18 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AiseeeeeeeeeeeHahah!! Bila kiuno feni siweki kambi hapo mkuu