Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shida moja nafikiri kama sio watanzania basi waafrika wengi tunakula bora chakula sio chakula boraUgali= starch
Dagaa= calcium
Kisamvu= vitamins
Maharagwe= rich of vitamins
Hakuna kitu kizuri kama kula chakula na kujua kinafaida gani mwilini.
True [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zitamtengua shauri yake
Haya bado upo upo kwanza[emoji23][emoji23][emoji23] ukioa mapema unajinyima burudani bado mapema
Hakuna kiama ukifa ndio mwisho wako enjoy tu maisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kula maisha bro. Dunia ndo hii hii hakuna nyingine [emoji16][emoji16][emoji16]
Mmenikoti vibaya kuliwa pesa si vinginevyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kuliwa tena
Hakuna kiama?Hakuna kiama ukifa ndio mwisho wako enjoy tu maisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakuona nitakua mimi bhana?Haya bado upo upo kwanza