mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Aisee kweli kabisa na wanasema ukioa shangingi mstaafu ndio mzuri sana sijui imekaaje hiiNa wengi wanaooa mapema huishia kuwa na michepuko kibao...
Cc SYB
andjul
Cole Williams
Aisee kweli kabisa na wanasema ukioa shangingi mstaafu ndio mzuri sana sijui imekaaje hiiNa wengi wanaooa mapema huishia kuwa na michepuko kibao...
Maisha murua kabisa wala hawawazi malaika mzima mitandao du shidaaHapo ukute kijana wa kisukuma kaning'iniza radio mkulima, kata mbuga mguuni, nyuma kapakia 20ltrs za maziwa, muwa mkononi, mbali na kuwa na redio lakini lazima aimbe na kawimbo ka kisukuma kusindikizia pedeli....Uzuri wao hawana shida na mtu....Ndoho tabu...
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] brazukaKwakweli hayatabiliki kirahisi mkuu, jana team ambayo nilikuwa naiamin imetupa mbao.
Sitaki kabisaHahah!! Hutaki kuliwa wewe
HahahahaMuongeleage na makabila yenu sasa. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
HahahahaUnakoelekea tutakupeteza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado tunakupenda oooh!
#UPAKO#
GAL 5:14
"Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako"
Wakati tunasemana vibaya, tunachekana pale ndg anapodondoka au kujikwaa, akifanikiwa tunachukia au kumpongeza kwa shingo upande. Sheria ya Mungu inatutaka tupendane kama unavyojipenda mwenyewe. Hakuna mwanadamu ambaye anaweza jicheka anapo anguka au kutofurahia mafanikio yake.
TUJAZWE PENDO LA KWELI NA SIO UNAFIKI
[emoji1488][emoji1488]
Hutaki ila ndivyoilivyo [emoji16]Sitaki kabisa
Hivi makungwi ndio kazi yao kufundisha ama wanafundisha mengine ,sorry swali limekosewa kuja kwakoHahah!! Hiyo ni sanaa yenu bhana Mungu kawabarikia labda mtu mwenyewe asiamue kua mchachalikaji
Muda unataradadiSaa nane? Duh!