Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Picha decent kama hiyo haihitaji muda.Mkuu bado mida ikifika shusha kama mvua
Picha decent kama hiyo haihitaji muda.Mkuu bado mida ikifika shusha kama mvua
Tupia moja tena kama ukipa ya mtusi safi sanaPicha decent kama hiyo haihitaji muda.
Ni nani huyu?Umemuona muthoto wa kk anatumia @haifunguki
Siku ikifika ya kulalamika atakumbuka.Kila mla cha mwenzake naye
Kama umenipenda si uniambie tu?
Poti vipi si kwa kupoteza hukoSemanae, Braza! [emoji1][emoji1]
Jambo ledadaAmeen
Mtu mmoja safi toka pande ya nchi jirani hapoNi nani huyu?
Umeibuka. Kwema?Semanae, Braza! [emoji1][emoji1]
Mtata sana huyu jamaa nchi yake ina 90% Roman Catholic ana maneno ya kejeli sanaHatari kabisa. View attachment 804443
Kamefichwa na ticha wake [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Poti vipi si kwa kupoteza huko
Uzuri wa hapa tuna kila kitu bhana, safi sana mkuu, najua ulishapata kikombe cha uji leo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018*
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
*SASA ONA MAAJABU...*
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua *Free Mansons* wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda.