Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee Said TANU Matimila Kamtawa baada kumwendesha mwalimu kwa uangalifu na uadilifu mkubwa, akiwa Land Rover ya kwanza ya TANU kwa miaka takribani saba, mwalimu mwenyewe alimpendekeza kuwa dereva wake baada ya Uhuru wa Tanganyika
 
Sherehe ya sabasaba ilipata mashiko makubwa baada ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, hivyo ikawa kila mwaka tarehe kama ya leo kulikuwa na sherehe ya kitaifa kubwa isiyo na kifani nchi nzima
 
Uzuri wa hapa tuna kila kitu bhana, safi sana mkuu, najua ulishapata kikombe cha uji leo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…