Nipe matokeo ya mwisho,Dk 33 England 1 Sweden 0
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Nimemuona aisee
England wanapetaNipe matokeo ya mwisho,
HahahahahaKakaako Shimba ndio umlalamikie,amelibatiza kuingia kundi moja na parachichi....Ila usiogope,linateleza sana ukianza kulila...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] werayuu mzee wa Fenesi[emoji137] [emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!! Karibu sanaNdiyo hiyo sasa... nacheza tu chini ya maji..
Wanataka kukuingiza chaka, sasa na zile miba zake sijui utakulaje lizame kinywani [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Fenesi litateleza vipi Andjul? Nalijua sana fenesi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utadhani yeye ndiye baba halafu anaongea na watoto wake.
Mzee wa FENESI kwema huko? Pande hizi Mungu ni mwema[emoji120] [emoji120]
Upotelea wapi tenaMkuu mkuu
Ohooooo, mdabuo wa fenesi[emoji3] [emoji3] kwe kwe kwe kweKujifungua mtoto na kudabuliwa ni vitu viwili tofauti ingawa vyote vinapita sehemu moja.
Salama mkuuMkuu habari za jumamosi
[emoji120][emoji120][emoji120]Amina
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hili fenesi la Andjul na mtoto kipi kikubwa? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wee mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naonekana kama mtu hatari sana mimi... Wajukuu zangu humu wataanza kuniogopa.
Habari ya majukumu ndugu[emoji120] [emoji120]
Ahsante Mungu jwa wema wake ametukutanisha tena
Safi mkuu..Hahah!! Karibu sana
Asee, bange za wapi hizoRais wa Ufilipino Rodrigo Duterte asema Mungu ni 'mpumbavu'
Nipo nipoUpotelea wapi tena