mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
PATI haipo tena...Ngoja nisubiri RussiaDk 85 England 2 Sweden 0
Sijui wamefikaje tu hapa?Naona Sweden bye bye
Bange si mchezo, lakini ndiyo Uhuru wa mawazo unaopiganiwa. Acha atoe ya moyoniAidha, amekosoa vikali hadithi ya Adam na Hawa kuhusu jinsi walivyotenda dhambi na kuondolewa kutoka kwenye neema ya Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohooooo, mdabuo wa fenesi[emoji3] [emoji3] kwe kwe kwe kwe
Hakuna kitu ingine, ni tuwasemee kwaheriNaona Sweden bye bye
HahahahaWanataka kukuingiza chaka, sasa na zile miba zake sijui utakulaje lizame kinywani [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunda kuliwa mpaka lipakwe mafuta!! Tunda gani hilo...Wanataka kukuingiza chaka, sasa na zile miba zake sijui utakulaje lizame kinywani [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Safi safiNipo nipo
Mkuu mimi nilikuwepo asbh sana huku usiku naingia huko tenaUpotelea wapi tena
Ana hatari sana huyu kiumbeAsee, bange za wapi hizo
Tangu enzi Ferdnand Marcos taifa hilo lina bahati ya kupata viongozi ambao ni vichwa maji, ukimuacha mama Groria Aroyo na mtangulizi wa Joseph ElestradaWengi walishawahi kumtukana Mungu. Yeye siyo wa kwanza....
Na inavyoonekana ana matatizo kwa sababu hajaanza leo wala jana hizi tabia za ajabu ajabu ikiwemo kuua watu hovyo hovyo bila kufuata sheria. Girly dictator!!!
Hahahaha tutafanya tu game bado zipoPATI haipo tena...Ngoja nisubiri Russia
Ukitaka kumuona hanaga shida, mtafute akuburudishe ana kwa ana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ni nduguye mpoki huyoHahahaha! Yaani mpaka huwa natamani nikuone ulivyo maana si kwa kutufurahisha huku[emoji23]