Siku hizi sina stress maisha murua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]za majukumu shwari kabisa,za ulipo,familia haijambo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binti yangu kipenzi,umekuwa mpole sana siku hizi kunani?
Habari ya majukumu ankoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]magazeti shwain kabisa yanamuumbua ntoliloAnasema kishamuona toka muda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nikirudi itanibidi nikafuate huko porini... Sijui wana agenda gani nako!!Tuishi kwa upendo...
Hapo ndo nakazia hasa....
Kakimbaumbau ketu kapole kenye roho njema ajabu umekaficha wapi lakini? Ushindwe na ulegee [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijatumia dawa yeyote zaidi ya kunywa maziwa kwa wingi tu ila naona bado mambo sio sawaUmekunywa dawa gani kwa sasa?
Mafua ukiyaendekeza utarudi kwenye dozi ya malaria. Tafuta dawaSijatumia dawa yeyote zaidi ya kunywa maziwa kwa wingi tu ila naona bado mambo sio sawa
Kwakweli hauna haja ya kujitambulisha popote uendapo umeshajitengenezea utambulisho wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]magazeti shwain kabisa yanamuumbua ntolilo
Kwakweli hauna haja ya kujitambulisha popote uendapo umeshajitengenezea utambulisho wako
Umemharibu Shimba wetu,naomba ujutie kwa hili.Nawaona wazee wa konokono
Aisee! sawa mpendwa ngoja nijitahidi kufanyia kazi hili swala. Asante kwa ushauriMafua ukiyaendekeza utarudi kwenye dozi ya malaria. Tafuta dawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una bahati sina kipaji cha kubwatuka hadharan kama bwana naniliiiUmemharibu Shimba wetu,naomba ujutie kwa hili.
Nimemuona Shunie alfajiri alivyo shtuka kumuona msukuma wake anaipekua pekua misambwanda...
[emoji124] [emoji124] mimi nikajichekea tu na kusema hiiiiii...