Wewe wamtabiria nani?Noted [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
[emoji4]kiasi chake mkuuUmechangamka mkuu
Mkuu na leo unakesha Mkuu[emoji4]kiasi chake mkuu
Mi sijui lolote kuhusu mpira naendaga tu kama bendera fuata upepo. Ili kuwa sefu nitafuata uliyemtabiri wewe mtaalamu...Wewe wamtabiria nani?
This ISIS is hot [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Asante kwa kuniamini...Tusubiri kikombeMi sijui lolote kuhusu mpira naendaga tu kama bendera fuata upepo. Ili kuwa sefu nitafuata uliyemtabiri wewe mtaalamu...
Hapana mkuu leo sikeshi ntachelewa kanisaniMkuu na leo unakesha Mkuu
Ushakutana Na LILE FOLENI la Dar?? .... Yaani UTAONA wale Wenye MAGARI mazuri ZURI kama V 8, RaNGe rover Wale WANAUZIWA Magazeti, afu hawa Wenye Tax , toyota, Noah na NK wanauziwa MAHINDi
ILA sie wa KWENYE Daladala TUNAUZIWA Dawa za Mende, Kunguni, mitego yaPANYA na Dawa za MENO, HIVI Machinga HUWAGa wanatuchukuliaje???[emoji23][emoji23][emoji23] ila Sawa Tu kikubwa Uzima
Sad. Very sad [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]