Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

25010193_501565146881466_7987638537669312512_n.jpg
 
Stori za vijiweni. Bila kufakamia machumvi ya uvinza we hujawa mtaalamu. Watu wamesahau kuwa misafara ya kwenda kuvuna chumvi Uvinza ilikuwa hatari sana na wavunaji wengi walikuwa wakiuawa na Wamasai na hata kuliwa na wanyama wakali. Zilikuwa ni safari za wachache tena wale mashujaa wakakamavu. Leo hii kila mtu anataka kwenda Uvinza. Acha waadhirike [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom