Wa mikoani huwa wamewakosea nini??Wanaume wa Dar wamewakosea nini?
Huko bara hawapati uji?Inasemekana uji ni dawa bora kabisa ya chunusi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]Wameungana[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahah!! Hapana rafikiOooh! Basi nimecheck vibaya....mie nilivyoona Beyonce nikajua mwazungumzia hiko.
Na utamuUsiku wa raha
Duuu, mkuu yamekuwa mashindano ya urembo! Waende miss World wakabahatishe[emoji3] [emoji3] [emoji3]Croatia...
Wana rais mrembo mno lazima wachukue kombe...
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati mwingine kichwa kikubwa. Wakati mwingine kichwa kidogo. Wakati mwingine vyote vinaingiliana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Heeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejikuta naishia kucheka tu.
Hivi huwa unafikiria kwa kutumia nini???[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]