Wanajikosea adabu wanapodhani mapenzi na wapenzi wao ni vipigo vya mara kwa mara. Mpenzi akikukosea mpige kwa upande wa kanga si kutoana ngeu[emoji3] [emoji3]Wa mikoani huwa wamewakosea nini??
The best for me, hii lazima niisikilize kila siku kabla ya kulalaNot for Radio
8/10 kwa upande wangu!! ClassicNaipata vizuri sana mkuu hii naipa 7.5/10
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23]
Iko vzr,, ndio inayofungua show,, kwangu mm Adam and EveThe best for me, hii lazima niisikilize kila siku kabla ya kulala
Kwema, upo kiongoziSalama mkuu, kwema?
Hawataweza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kabisa mkuu naona wameunganisha nguvu kuniangusha
Hata sie mwezi mzima tulifungiwa na tcraNdo naingia leo online mwez mzima nilikua situmii simu. Nilikumiss sana Numbuu