Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Tunashukuru kujumuika nasi tena maana tunaendelea kugawa likes hadi uzi umekuwa gumzo JFAsante kwa heshima yako mkuu,nimeipokea kwa nidham zote na itifaki imezingatiwa. Za kupotea salama mkuu nilikuwa sipo mtandaoni kwa siku kadhaa