ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kuna wengine
Nawashukuru wote kwa kampani zenu yaani Uzi umekuwa maarufu balaa. Uzuri huu Uzi kila MTU yuko free hakuna limitations kila MTU Uzi huu ni wakeTunashukuru kujumuika nasi tena maana tunaendelea kugawa likes hadi uzi umekuwa gumzo JF
Karibu sana mkuu.Ntalala kwa mkuu kichwa kichafu
Asante sanaNawashukuru wote kwa kampani zenu yaani Uzi umekuwa maarufu balaa. Uzuri huu Uzi kila MTU yuko free hakuna limitations kila MTU Uzi huu ni wake
MmhhPole sana mkuu.
carbamazepine naomba uwe nae karibu ndugu yangu mpe mawazo tofauti maana kavurugwa sana na uzi wake kujoin na mwingine
Unapiga chakula cha kutosha na likes juuSafi kama chakula bure siondoki tena
Asante sanaNimepokea na wewe pokea hiyo
Maana Jamaa wa nyuma kama vile anataka kufanya israfuHaaaa haaaa haaaa mkuu Mr kipago hapo Mimi ntakuwa wa mbele. Siwezi kuwa huyo wa mbele hata kwa mbinde