sammyluv
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 930
- 6,156
Kweli kabisa ukimiss dk 30 unakuta uzi ushabadilika nambaHuu uzi ni hatari kuna watu wanashinda kitwa nzima humu
Kweli kabisa ukimiss dk 30 unakuta uzi ushabadilika nambaHuu uzi ni hatari kuna watu wanashinda kitwa nzima humu
CoolSafi kama chakula bure siondoki tena
Unajitekenya then unacheka ww hahaaa
Dakika tu uzi umesogea sanaKweli kabisa ukimiss dk 30 unakuta uzi ushabadilika namba
Maana naomba tusaidiane kumfariji huyu uzi wake moto umekuwa comment kwenye uzi mwingine.Mmhh
Kabisa mkuuNawashukuru wote kwa kampani zenu yaani Uzi umekuwa maarufu balaa. Uzuri huu Uzi kila MTU yuko free hakuna limitations kila MTU Uzi huu ni wake
Huwa wananiudhi sana kwa kweli!Maana naomba tusaidiane kumfariji huyu uzi wake moto umekuwa comment kwenye uzi mwingine.
The choosen One pole sana mkuu ila ndio utaratibu wa mda mrefu tu uzi ukifanana tu wanaunganisha