Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Ongea usicheke na bichwa lako chafu..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ongea usicheke na bichwa lako chafu..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
FORTUNAHivi mwezi wa fatuma ni lini
UwiiiOngea usicheke na bichwa lako chafu..
Siku ukisikia huu uzi umeunganishwa na mwingine[emoji23]Huwa wananiudhi sana kwa kweli!
HahahahaTatizo kubwa la uzi huu ni kula chakula kilichopoa kila siku!
Haya ndo mashitaka makubwa ambayo wana uzi huu wanayafikisha kwako mwanzisha uzi.
Wameu merge na uzi upi tena?pole yake mana alikua anatafuta fursa mwenyeweMaana naomba tusaidiane kumfariji huyu uzi wake moto umekuwa comment kwenye uzi mwingine.
The choosen One pole sana mkuu ila ndio utaratibu wa mda mrefu tu uzi ukifanana tu wanaunganisha
Haaaa haaaa haaaa lakini pia faida take hata ukiwa unapiga bia haiishi haraka maana unalike comments 20 then unapiga funda moja LA gambeTatizo kubwa la uzi huu ni kula chakula kilichopoa kila siku!
Haya ndo mashitaka makubwa ambayo wana uzi huu wanayafikisha kwako mwanzisha uzi.
Sawa mkuu sina nenoUnajitekenya then unacheka ww hahaaa
Ngoja nifanye my observation
MajangaSiku ukisikia huu uzi umeunganishwa na mwingine[emoji23]