Asante.King kiba
Ndo wanataka hicho[emoji102]
chigundaChege
Na uzi wa 2014 hiviWameu merge na uzi upi tena?pole yake mana alikua anatafuta fursa mwenyewe
Hhahaaa haya ni malalamiko yako au uzi mzima maana mi sina haya malalamiko we mzee wa ikwiririTatizo kubwa la uzi huu ni kula chakula kilichopoa kila siku!
Haya ndo mashitaka makubwa ambayo wana uzi huu wanayafikisha kwako mwanzisha uzi.
Truewachache ndo tunamudu speed
Huyo carbamazepine mwenyewe anisikilizi ataniongezea stress tuPole sana mkuu.
carbamazepine naomba uwe nae karibu ndugu yangu mpe mawazo tofauti maana kavurugwa sana na uzi wake kujoin na mwingine
Watu wako fasterDakika tu uzi umesogea sana
ISIS naona unacheka tuUwiii