Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sijaridhika na hii lanchi hasa kutoka kwako bro - bingwa wa kukoroga uji. Ni appetizer hii au ndo msosi wenyewe? Au uko Dar bro?
Flat skrini imemkata stimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usalama wa konokono upo mashakani aisee. Jizazi helupazi
[emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu!!Na kutolia huko ndiko kunawakosti wanaume. Hawatoi madukuduku yao. Mshonano wa mambo kibao kifuani na siku ya siku massive heart attack wanadondoka na kufa na mambo yao kifuani. Kulia kumethibitishwa kisayansi kuwa ni njia nzuri ya kupunguza stress hormone mwilini, hormone mbaya inayosababisha BP, matatizo ya moyo na shida zingine kibao.
Wanaume kulia siyo udhaifu. Ukigusika sana moyoni lia mwanawane. Mbunye ikikuzidia utamu limwage chozi bila aibu...Ukiwa na huzuni sana lia. Misiba ya wapendwa wako lia...Kwa kufanya hivyo utakuwa unajitibu na kujiongezea siku za kuishi...
[emoji23][emoji23]Sijaridhika na hii lanchi hasa kutoka kwako bro - bingwa wa kukoroga uji. Ni appetizer hii au ndo msosi wenyewe? Au uko Dar bro?
Mi naliaga tu bro. Na baada ya hapo najisikia vizuri sana !!![emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu!!
Ila points sana nimekuelewa. Even heaven cry
Haya maisha bila chura ni mtihani sana kwa hawa wenzetuFlat skrini imemkata stimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Usalama wa konokono upo mashakani aisee. Jizazi helupazi
Lakini naimani una maeneo yako muhimu ya kuliliaMi naliaga tu bro. Na baada ya hapo najisikia vizuri sana !!!
Sawa bro....[emoji23][emoji23]
Niko Dar bro alafu ndio misosi yenyewe hiyo huwezi amini na mambo mengine yanaenda sawa kabisa. Uji mzito wa moto
Hapo juu nimeshataja mojawapo....Lakini naimani una maeneo yako muhimu ya kulilia
Unapatikana Lake zone sio?Sawa bro....
Mi bila ugali najiona kama vile sijala [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbunye ikikuzidia utamu limwage chozi bila AIBU.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kutolia huko ndiko kunawakosti wanaume. Hawatoi madukuduku yao. Mshonano wa mambo kibao kifuani na siku ya siku massive heart attack wanadondoka na kufa na mambo yao kifuani. Kulia kumethibitishwa kisayansi kuwa ni njia nzuri ya kupunguza stress hormone mwilini, hormone mbaya inayosababisha BP, matatizo ya moyo na shida zingine kibao.
Wanaume kulia siyo udhaifu. Ukigusika sana moyoni lia mwanawane. Mbunye ikikuzidia utamu limwage chozi bila aibu...Ukiwa na huzuni sana lia. Misiba ya wapendwa wako lia...Kwa kufanya hivyo utakuwa unajitibu na kujiongezea siku za kuishi...