Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jioni unarudi kwa keja unapata vyombo zote ni chafu so inabidi ukunywe soda na mkate supper ni kama uko music festivals za high school...kuwa single ni ngumu [emoji849] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
"It was just sex, just once.. it meant nothing to me, it's you i love babe.. i need you, i'm sorry, i'm so sorry, i promise i won't do it again.."
~Ancestor Of All Scams!![emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa aliibiwa simu kwenye matatu. Akifika nyumbani amuona mkewe yuwalia na family yake wote wako hapo wanajaribu kumpumbaza maskini.

Jamaa akashatuka akauliza kuna nini . Mamake mke akajibu kwa ukali “tena wauliza kuna nini na umemtumia message ya talaka”.

Jamaa akaapa " wallahi sikutuma hio message lakini simu yangu ndio imeibiwa." Hapo akachukua simu ya mkewe akampigia yule mwizi akamwambia sasa wewe umeniibia simu kisha pia wataka kunivunjia ndoa yangu . Mwizi akajibu ishakua huyo mkeo anikera saa anitumia message “uko wapi, uko na nani, mbona unchelewa, ukija niletee ice cream, usisahau maziwa ya mtoto, mbona hunijibu message, jibu, jibu, jibu, jibu.....”
[emoji85]Ah nikaona bora nimjibu kwa hiyo talaka tupumzike sote.

Waizi wengine wallahi watakwenda peponi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Many men out there are cheating with rings on their fingers.. They are married..
You think your boyfriend will not cheat because he has your pic on his dp on watsapp... Don't be stupid..
 
Si kwa ubaya lakini dr owuor anatupima ujinga...
Stanyaa nkiona tukipotezwa..

Msee alizaliwa deaf alafu akiponywa anaongea... Aliskia wapi akajifunza kuongea...


Mwingine aliponywa kipofu ... Anaambiwa atembee mpaka kwa kiti ya green.. How?? Alijuaje colour green..
I may not be religious as much but ...noo Niko na akili na najua
Kama kuna msee wake huku mtume kwangu ..
 
Back
Top Bottom