Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na kutolia huko ndiko kunawakosti wanaume. Hawatoi madukuduku yao. Mshonano wa mambo kibao kifuani na siku ya siku massive heart attack wanadondoka na kufa na mambo yao kifuani. Kulia kumethibitishwa kisayansi kuwa ni njia nzuri ya kupunguza stress hormone mwilini, hormone mbaya inayosababisha BP, matatizo ya moyo na shida zingine kibao.

Wanaume kulia siyo udhaifu. Ukigusika sana moyoni lia mwanawane. Mbunye ikikuzidia utamu limwage chozi bila aibu...Ukiwa na huzuni sana lia. Misiba ya wapendwa wako lia...Kwa kufanya hivyo utakuwa unajitibu na kujiongezea siku za kuishi...
Mtaani mambo hayo hayakubaliki, mambo ya kulialia kwa wanaume ni magumu. Nadhani wanaume wataamua kukaa na donge Moyoni kuliko kulia. Mkuu kulimwaga chozi uwe na moyo. hayo tuwaachie mama zetu, acha yatughalimu maana hakuna namna
 
Asalam Aleikum

Kituo cha afya Pugu kajiungeni Kuanzia leo jumatatu 09/07/2018-19/07/2018 kutakua na zoezi la upasuaji wa mabusha. Huduma hii ni bure. Naomba mpe taarifa unayemfahamu mwenye tatizo hili.
 
Hata mimi nilishangaa, nilidhani mlo wa asubuhi kumbe ni mlo wa mchana. Utapataje nguvu ya kukoroga uji [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ingekuwa lanchi ya mtu mwingine nisingeshangaa lakini ya bro huyu machachari aliyevunja mpaka rekodi ya KUZINDULIWA. Nimeshangaa sana !!!
 
Back
Top Bottom