moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Gonga likes pata likesWakuu mbona mimi sipati likes huku? Au mnapendeleana?
Gonga likes pata likesWakuu mbona mimi sipati likes huku? Au mnapendeleana?
Ahahah mkuu nimekuamboa usiwe na wasi wasi mambo yote yanakwenda sawa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ingekuwa lanchi ya mtu mwingine nisingeshangaa lakini ya bro huyu machachari aliyevunja mpaka rekodi ya KUZINDULIWA. Nimeshangaa sana !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ice nimepita apo stadium ya Moscow kuna mkikuyu anauza bendera ya Belgium. Ameniambia anaitwa Kamau wa Zhirkov[emoji23][emoji23]
Walyekum salaam, shukrani kwa taarifa mkuu , pokea likesAsalam Aleikum
Kituo cha afya Pugu kajiungeni Kuanzia leo jumatatu 09/07/2018-19/07/2018 kutakua na zoezi la upasuaji wa mabusha. Huduma hii ni bure. Naomba mpe taarifa unayemfahamu mwenye tatizo hili.
Njaa ikimzidi Simba anakula mchanga, sasa flat ndio mchanga wenyeweMuwe na huruma, hata flat nao wanataka upendo wenu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hawa ndo wanatoaga vitu weak...vyepesi, havisafiri vikafika kokote.[emoji38][emoji38]
Aaah! Skendo tu hiziHawa ndo wanatoaga vitu weak...vyepesi, havisafiri vikafika kokote.[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Skendoje sasa?Aaah! Skendo tu hizi
SIMWAAMINIGISi kwa ubaya lakini dr owuor anatupima ujinga...
Stanyaa nkiona tukipotezwa..
Msee alizaliwa deaf alafu akiponywa anaongea... Aliskia wapi akajifunza kuongea...
Mwingine aliponywa kipofu ... Anaambiwa atembee mpaka kwa kiti ya green.. How?? Alijuaje colour green..
I may not be religious as much but ...noo Niko na akili na najua
Kama kuna msee wake huku mtume kwangu ..
Hivi amezinduliwa eeeh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ingekuwa lanchi ya mtu mwingine nisingeshangaa lakini ya bro huyu machachari aliyevunja mpaka rekodi ya KUZINDULIWA. Nimeshangaa sana !!!
Alizinduliwa ndio..Hivi amezinduliwa eeeh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lazima kuna mti hapo karibu