Haya mambo ya kiroho ni magumu. Tuyaache tu kama yalivyo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Heee hapa sikubalian nawe daah nishajaribu mara nyingi kusali kwa walokole ila ikifika muda wa kulia nashindwa kabisa
Bro kwa hyo ni kweli kuwa watu wa kanda ya ziwa wanavaa kishamba?"Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi"
Nimenukuu comment ya mdau mmoja huko...
[emoji673][emoji673][emoji673] Ni kosa kufanya hivyo? Huyu ninja hata hivyo anajulikana kwa vituko vyake na ni mpenda matani sana. Bungeni huko pia huwa vituko tupu. Cheo alichopewa kinataka umakini mkubwa. I hope analijua hilo !!!