Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

uqp3638ngq611.jpg
 

Attachments

  • photo_2018-07-09_17-54-31.jpg
    photo_2018-07-09_17-54-31.jpg
    126.6 KB · Views: 24
  • photo_2018-07-09_17-45-48.jpg
    photo_2018-07-09_17-45-48.jpg
    97.4 KB · Views: 24
Watu wako na uchokozi hii Kenya ...
Niko kwa matatu alafu makanga ameuliza mkorino, "Hii kichwa yako haijawahi pona?" Hata dereva amepunguza volume askie answer.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nahisi akilia inamuongezea hisia na mbwembwe za kushughulika yule wa upande wa pili.....Yaani anajikuta tu automatikale.
Kama ni kulia kwa jukumu la kukufurahisha hilo linawezekana. Nitalia kama nipo kilioni[emoji3] [emoji3] [emoji3] lakini duuu nitaanzaje kwa mfano. Hapo napo nadhani talaka itanihusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
We nawe. Kulia kunakuja otomatikale. Siyo maamuzi yako. Kama jana kulikuwa na mhubiri mmoja machachari sana. Neno linakuchoma unajikuta tu umeshalia hata bila kufahamu...na ukitoka hapo unajisikia upako wa hali ya juu. Tatizo ni huu uzi na kuachana nao pia ni vigumu kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Heee hapa sikubalian nawe daah nishajaribu mara nyingi kusali kwa walokole ila ikifika muda wa kulia nashindwa kabisa
 
Jana tulienda na dem hoteli flani nkakauliza katakula nini... si unajua tabia za madem .. ntakula kenye utakula beb ... mimi ni nani! Nikapiga order .. " !!Chai moto na mandazi saba!"[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15].asubuhi nilipata text ... I've moved on.[emoji53][emoji53][emoji53]shit.
 
Taswira binafsi ni jinsi mtu anavyojifafanua mbele za watu. Ni picha ya mtu binafsi anayoionyesha mbele ya watu wengine. (mimi ni nani?).
Taswira binafsi inampa mtu uwezo wa ktoa, kupokea na kukabiliana na changamoto za kimaisha.
 
A lady invited her boyfriend over for dinner at her home, so that he could meet her parents.
While they were eating, it started raining heavily. The girl's mother said: "Karl I think you should sleep over here because this rain shows no sign of stopping anytime soon"
After eating the mom went to the washroom and the father went to sleep while the girl went to the kitchen to clean the plates, when the girl and the mother returned, Karl was no longer there.
As they were busy wondering where he was, he came back really soaking wet.
Mother: "Where were you and why are you so wet?"
Karl : "I went home to get my pyjamas..."
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Taswira binafsi inayojengwa kwenye misingi ya woga, wasiwasi, kutokujiamini n.k huonyeshwa kwa hisia hasi.
Taswira binafsi iliyojengwa kwenye misingi ya upendo, heshima, imani, uelewa n.k huonyeshwa kwa hisia chanya.
 
Vitu Vinavyoathiri Taswira Binafsi

Kuna viti vitatu vikuu vianavyoathiri taswira binafsi ya mtu.
1) Mawazo na hisia wakati wa utoto.
Katika miaka saba ya kwanza, watoto hujenga mfumo wa kuthaminisha na ambao huongoza maisha yao yote.
 
Watoto hupenda na kutafuta mafundisho mazuri, mawazo mazuri, hisia nzuri na mienendo chanya.
Kwa bahati mbaya, hawana kinga dhidi ya mawazo mabaya, mafunzo mabaya na mienendo hasi.
Kwa kutokuwa na uwezo wa kuzia maovu, mawazo na matendo ovu huwatawala na kudumaza ukuaji wa taswira binafsi iliyo bora.
 
Back
Top Bottom