Ndiyo mkuuKwahiyo mkuu jana ulimwaga chozi la kutosha ?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapana mkuu, nina roho nzuri sana ila chozi ndiyo tatizoDuh! Kweli una roho ngumu
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] Kuna wahubiri wana upako wa ajabu sana. Kama huyu wa jana. Yaani rapture ingetokea humo humo kanisani kabla sijaja kwenye uzi huu aisee ningeenda kabisa. Yaani kila neno analolisema utafikiri anakuongelea wewe. Mungu ni Mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Madame!! Hii kitu acha kabisa...Uwapo kanisani hasa ule muda wa kuabudu unapowadia, halafu ukajiachilia kabisa, sio kwamba machozi unayatafuta, hapana! Yaani ukishazama kiroho kabisa muda ule machozi yanabubujika pasipo kuyatafuta...Muda huo unatamani ndo uwe mwisho wa dunia kwa maana unakuwa na uhakika wa kunyakuliwa...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji125][emoji125]Binti mpole binti mpole
Nimeuliza kwasababu ya hizi jumbe/nasaha unazoshare.Kama mtu atasubiri watu wampatie majibu ya changamoto zinazomkabili, mtu huyo kamwe hawezi kukua na kuimarika kwani kufanikiwa au kutaofanikiwa kunamuimarisha mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuja huko huko [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Isidingo nilikua natoa google same to haya material natoa huko huko.Nimeuliza kwasababu ya hizi jumbe/nasaha unazoshare.
Unazitoa kwenye kitabu au?
Pia sijui unatumia chanzo gani kupata isidingo.Niliwahi kupendekeza YouTube ukasema huwa wanafuta za zamani, hivyo sijui unapozitoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo na zile chips[emoji23][emoji23][emoji23] nakuja huko huko [emoji125][emoji125][emoji125]
Pole mkuu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kilio duuu,hata nilipofiwa na mama yangu nilijitahidi kulia nikashindwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo na zile chips[emoji23][emoji23][emoji23] nakuja huko huko [emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahha ila watu wa kule kwenye maji ni noma,,, ujuaji mwingi kila mtu anashule na anandugu ulaya,,,wasukuma kwenye kujiweka juu hawana sema hawajivungi wanapenda kujfunza vtu tatzo ndo lnapoanzia hapo,,Ukisikia hivyo jua kuwa walengwa wakubwa ni Wasukuma ambao sifa yao ya ushamba inajulikana [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu yaonyesha una machozi mengi, natamani uniambukize[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Madame!! Hii kitu acha kabisa...Uwapo kanisani hasa ule muda wa kuabudu unapowadia, halafu ukajiachilia kabisa, sio kwamba machozi unayatafuta, hapana! Yaani ukishazama kiroho kabisa muda ule machozi yanabubujika pasipo kuyatafuta...Muda huo unatamani ndo uwe mwisho wa dunia kwa maana unakuwa na uhakika wa kunyakuliwa...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Uzinduzi ule mashuhuri ulikupitaje mkuu? Nenda hapa ukajiridhishe [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Mna visa nyie watu, mnamzindua mwanadamu??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]