Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu umezinduliwa ili ukamwage uji wa mchele lakini lanchi yako inatupa mashaka kama kweli utatimiza lengo la aliyekuzindua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahah!!!

Mkuu usiwe na mashaka juu ya lunch yangu uzuri nimeshakudokeza tasnia ninayo jishughulisha nayo kwahiyo haina shida kwa upande wangu...
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] Kuna wahubiri wana upako wa ajabu sana. Kama huyu wa jana. Yaani rapture ingetokea humo humo kanisani kabla sijaja kwenye uzi huu aisee ningeenda kabisa. Yaani kila neno analolisema utafikiri anakuongelea wewe. Mungu ni Mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watu wamepakwa mafuta aisee
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu umezinduliwa ili ukamwage uji wa mchele lakini lanchi yako inatupa mashaka kama kweli utatimiza lengo la aliyekuzindua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa sokota,, tyl umeona fursa
 
photo_2018-07-09_17-43-58.jpg
 
Attachments

  • photo_2018-07-09_17-43-58.jpg
    photo_2018-07-09_17-43-58.jpg
    66.5 KB · Views: 31
Kuna nshomile mmoja mwanamke alikua anapenda kurudi home usiku sasa siku moja vibaka wakamzingira na kumuibia vitu ee bana alipiga kelele wananiibiaaaa dhahabu zangu,weee hereni za bei mbaya hizo,uwiii mkufu wangu gramu kubwa,mama weeee kibanio changu cha elfu kumi,uwiii viatu vyangu nimenunua juzi tu tena kwa oda toka kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiran badala ya kutoka kumsaidia wakabaki wanacheka kwa maneno ya huyo mama

IMG-20180705-WA0013.jpg

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna nshomile mmoja mwanamke alikua anapenda kurudi home usiku sasa siku moja vibaka wakamzingira na kumuibia vitu ee bana alipiga kelele wananiibiaaaa dhahabu zangu,weee hereni za bei mbaya hizo,uwiii mkufu wangu gramu kubwa,mama weeee kibanio changu cha elfu kumi,uwiii viatu vyangu nimenunua juzi tu tena kwa oda toka kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiran badala ya kutoka kumsaidia wakabaki wanacheka kwa maneno ya huyo mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nshomile kwa sifa wanaongoza hawa
 
Back
Top Bottom