Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu umezinduliwa ili ukamwage uji wa mchele lakini lanchi yako inatupa mashaka kama kweli utatimiza lengo la aliyekuzindua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi mzee andjul
 
Kuna nshomile mmoja mwanamke alikua anapenda kurudi home usiku sasa siku moja vibaka wakamzingira na kumuibia vitu ee bana alipiga kelele wananiibiaaaa dhahabu zangu,weee hereni za bei mbaya hizo,uwiii mkufu wangu gramu kubwa,mama weeee kibanio changu cha elfu kumi,uwiii viatu vyangu nimenunua juzi tu tena kwa oda toka kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiran badala ya kutoka kumsaidia wakabaki wanacheka kwa maneno ya huyo mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mtu kama huyo hata nguvu za kumsaidia zitapotea, zitaishia kwenye kucheka tu.
 
Ukisikia hivyo jua kuwa walengwa wakubwa ni Wasukuma ambao sifa yao ya ushamba inajulikana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Wasukuma wanaponzwa na wingi wao, kule Morogoro wamejaa Kilosa, Ifakara, Gairo na Morogoro Vijijini na wako vizuri kuangalia mifugo yao kuliko kujiangalia wenyewe
 
source.gif
 
Back
Top Bottom