Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] Kuna wahubiri wana upako wa ajabu sana. Kama huyu wa jana. Yaani rapture ingetokea humo humo kanisani kabla sijaja kwenye uzi huu aisee ningeenda kabisa. Yaani kila neno analolisema utafikiri anakuongelea wewe. Mungu ni Mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kama mtu atasubiri watu wampatie majibu ya changamoto zinazomkabili, mtu huyo kamwe hawezi kukua na kuimarika kwani kufanikiwa au kutaofanikiwa kunamuimarisha mtu.
Nimeuliza kwasababu ya hizi jumbe/nasaha unazoshare.

Unazitoa kwenye kitabu au?

Pia sijui unatumia chanzo gani kupata isidingo.Niliwahi kupendekeza YouTube ukasema huwa wanafuta za zamani, hivyo sijui unapozitoa.
 
5) Kupuuzia mambo.
Watu hawa huishi kana kwamba kila kitu ni sawa (OK!). Hujisahaulisha changamoto zinzowakabili. Huona hakuna haja ya kuwaza mbinu mbadala ili kuboresha hali husika. Huamini kila kitu ni sawa na inatosha, hakuna haja ya kuumiza kichwa zaidi.
 
Mfano, mtu anagundua amekosea moja ya hatua katika kufanya kitu fulani, kisha anajisemea haina tatizo, hata fulani alikoesea n.k. Hachukui hatua ili kurekebisha hatua husika hata kama anao uwezo wa kufanya hivyo.
 
Ukisikia hivyo jua kuwa walengwa wakubwa ni Wasukuma ambao sifa yao ya ushamba inajulikana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahha ila watu wa kule kwenye maji ni noma,,, ujuaji mwingi kila mtu anashule na anandugu ulaya,,,wasukuma kwenye kujiweka juu hawana sema hawajivungi wanapenda kujfunza vtu tatzo ndo lnapoanzia hapo,,
 
Mkuu yaonyesha una machozi mengi, natamani uniambukize[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mfano, mtu anagundua amekosea moja ya hatua katika kufanya kitu fulani, kisha anajisemea haina tatizo, hata fulani alikoesea n.k. Hachukui hatua ili kurekebisha hatua husika hata kama anao uwezo wa kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…