[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchochezi huoZitawatosha??? Halafu leo nimeona vidole vya miguu....Umeviona?
[emoji23]yaaniImejaa vioja[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naye anataka akuzindue[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]gonga msosi wa kutosha mkuu uwe tayari kuzinduliwa achana na chips[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahah!! Eti ukipata nauli, unakua kama unaenda kwa mjomba bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi mzee andjulMkuu umezinduliwa ili ukamwage uji wa mchele lakini lanchi yako inatupa mashaka kama kweli utatimiza lengo la aliyekuzindua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nao wi a tokingi bro [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo sijazoom ngoja nirud kazin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaah! Hizo zimeshazinduliwa kinamna namna.Basi tafuta nauli uzindue ndege ya Magu
Uji wa ulezi mzito, na wa kutosha,,baada ya hapo ni usingizi mzitoNao wi a tokingi bro [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Uji wake ukitoka hapo mwenyewe mnywaji atakushukuru [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mtu kama huyo hata nguvu za kumsaidia zitapotea, zitaishia kwenye kucheka tu.Kuna nshomile mmoja mwanamke alikua anapenda kurudi home usiku sasa siku moja vibaka wakamzingira na kumuibia vitu ee bana alipiga kelele wananiibiaaaa dhahabu zangu,weee hereni za bei mbaya hizo,uwiii mkufu wangu gramu kubwa,mama weeee kibanio changu cha elfu kumi,uwiii viatu vyangu nimenunua juzi tu tena kwa oda toka kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majiran badala ya kutoka kumsaidia wakabaki wanacheka kwa maneno ya huyo mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hapana mkuu...Mie hawa wala kiepe siwawezi..Nawe wataka kumfanyia uzinduzi?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Wasukuma wanaponzwa na wingi wao, kule Morogoro wamejaa Kilosa, Ifakara, Gairo na Morogoro Vijijini na wako vizuri kuangalia mifugo yao kuliko kujiangalia wenyeweUkisikia hivyo jua kuwa walengwa wakubwa ni Wasukuma ambao sifa yao ya ushamba inajulikana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbwembwe za wanaDar utaziweza?
Hahah!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro unasema?? kumbe uzinduzi z ulifanyika official kbsa
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba niliruka kihunzi?Uzinduzi ambao tunasubiria party two. Davet bana bana haukutoa jibu la kueleweka pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] daahMzinduaji ni star hapa JF ndo maana ulivuma sana. Watu tulikula na kunywa fo alomosti e wholo wiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umenifanya nicheke jamani Moudgulf
Hahah!! Mkuu nitajitahidi ila kati ya vyakula ambavyo sijabarikiwa kuvipenda na situmii sana katika haya maisha ni hichoNdiyo maana mlo wako umeleta utata mkuu. Safari nyingine jitahidi uwekepo na kaugali au mihogo angalau [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vidole sio vyangu vile alafu uzuri viliyumba laa sivyo vingeleta utata sanaZitawatosha??? Halafu leo nimeona vidole vya miguu....Umeviona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo sijazoom ngoja nirud kazin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]