Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yupi anamzindua yupi safari hii?Uzinduzi ambao tunasubiria party two. Davet bana bana haukutoa jibu la kueleweka pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli...chips atapwaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]View attachment 806144
Acha masihara mzee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usingizi tena mkuu, uvivu huo. Unatakiwa usugue kisigino vilivyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Uji wa ulezi mzito, na wa kutosha,,baada ya hapo ni usingizi mzito
Hahah!!! AiseeeMkuu nakuaminia, usituangushe. Kwenye mambo furani kanyaga moto kweli kweli
Hahahahaha, mkuu hapo anakazia mlo,alishagonga makange anakazia kwa chips[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hapana mkuu...Mie hawa wala kiepe siwawezi..
Ndio naweza..Wewe je?Unaweza kuogelea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo uji utageuka mtindiDuuu, una mechi mkuu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaah! naikumbuka boss, kwahiyo likizo ilishafika kumbe?Oooh sio huo bhana, kidogo huo nimekuwa mzito, huu ningeweza ningesumbua sana JF[emoji3]
Naongelea ile ishu yetu ya mwanzo kabisa, nilikwambia nipe miezi 3[emoji3]
Kweli kabisa. Kuna glands maalumu zinazotoa machozi na yana kazi ya muhimu sana katika kudumisha afya ya macho[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu kama ni hivyo una machozi ya kutosha
Ni kweli uko home poti au unatania?Kwema kabisa! Nilikuwa sehemu huko Kolomije ambako kupata network mpaka upande mlimani! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mmh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hapana mkuu...Mie hawa wala kiepe siwawezi..
Shiro umeanza...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usingizi tena mkuu, uvivu huo. Unatakiwa usugue kisigino vilivyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]