[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna masomo yanaendelea huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kimya kimya nayo inaboa....Mnakuwa kama wafu wanaokokotana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Makelele ya kujifanya. Hovyo kabisa. Hata mimi siyawezi kwa kweli. Afadhali ukae kimya tu nijue moja [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi matokeo mwake au jau tu?
Bora umeulizaMkuu habari za jumatatu
Hivi maana ya shiro ni nini maana naona shiro shiro shiro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna masomo yanaendelea huku
Shiro ni jina jingine la binti mrembo machachari huru rafiki yake sana na Davet aitwaye Ledada....Mkuu habari za jumatatu
Hivi maana ya shiro ni nini maana naona shiro shiro shiro
Mkuu niaje habari za Usk huu[emoji119] [emoji119]
Hapo nimekupata...Kipindi hicho ndio JF ilikuwa imebuma. Kulikuwa hakuna namna ya kustuana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuuHakuna fursa yoyote mkuu, tunampa ushauri ndugu yetu awe makini na hawa watu. Ni hivyo tu mkuu[emoji3] [emoji3]
Hahah!! Hongera kwa kujichukulia mavyeo yako mkuu [emoji23]..Tokeo fresh tu.
Sema nataka nijaribu ile mishe ya pili labda naweza fanikiwa
Huo ni ugali au wali? Bado sana lakini angalau safari hii kuna dalili za carbohydrates chanya. Wi a getingi zea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana mkuu,, huo ni mlo wa kila siku,,vp kwani [emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, una mechi mkuu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
22:06 Mzee wa pipi niaje21:52
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye kile kichochoroMzee wa mtaa wa Yombo Temeke [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chakula cha usikuMida yetu sasa dinner