Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*....hivi ndugu zetu wamaasai huku Mijini wanalala wapi? Mbona hatukutani kwenye nyumba za kupanga au wote wamejenga*[emoji134][emoji134][emoji134][emoji39][emoji39]
Wanasema hawawezi kulala nyumba za waswahili zenye umeme maji na vyoo mpaka chumbani, watapata nuksi, kwa hapa dar wanalala kwenye msitu wa kazimzumbwi Kisarawe kudumisha mira zao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Diego Costa

Straika, Diego Costa, alishawahi kuwa na mpenzi, lakini uhusiano wao ulivunjika baada ya mrembo huyo kumshutumu kwamba alitoka na dada yake na kisha rafiki yake.

Kwa maana ya Costa amesaliti kwa kutoka na dada na rafiki wa karibu wa mwanamke huyo, Michele Zouanne. Uhusiano wao wa kimapenzi ulikufa mwaka 2016 baada ya mrembo huyo kujihakikishia kwamba mpenzi wake alichepuka na mbaya zaidi amefanya hivyo na ndugu yake wa damu, kisha na rafiki yake.
Hana adabu kabisa huyo mrembo. Hivi amesahau msemo wa wahenga usemao "Kizuri kula na nduguyo"?
 
Wanasema hawawezi kulala nyumba za waswahili zenye umeme maji na vyoo mpaka chumbani, watapata nuksi, kwa hapa dar wanalala kwenye msitu wa kazimzumbwi Kisarawe kudumisha mira zao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha!!! Ni kweli huwa wanalala Kazimzumbwi???
Bahati mbaya wakikutana na wale wenye magwanda ya mabaka mabaka si wanaweza fikiri wahalifu???
 
Back
Top Bottom