Ledada, mbona uko tofauti leo una nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Shindwaaa na mawazo yako
Sawa fanya hivyo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa ntakuja jumamosi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shiro[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji8][emoji8][emoji8]rafiki yangu [emoji7]
Wanasema hawawezi kulala nyumba za waswahili zenye umeme maji na vyoo mpaka chumbani, watapata nuksi, kwa hapa dar wanalala kwenye msitu wa kazimzumbwi Kisarawe kudumisha mira zao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*....hivi ndugu zetu wamaasai huku Mijini wanalala wapi? Mbona hatukutani kwenye nyumba za kupanga au wote wamejenga*[emoji134][emoji134][emoji134][emoji39][emoji39]
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MuacheShiro[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usibet kwa kuangalia mapenzi uliyonayo kwa timu husika, mapenzi weka kando bet ujipatie fweza. Hata hivyo betting ni hairuhusiwi kiimaniFRANCE vs ENGLAND... nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta... Nimeamua kuacha iwe hivyo hivyo tu...tukutane SportPesa...
AminMuwe na usiku mwema wote
[emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hana adabu kabisa huyo mrembo. Hivi amesahau msemo wa wahenga usemao "Kizuri kula na nduguyo"?Diego Costa
Straika, Diego Costa, alishawahi kuwa na mpenzi, lakini uhusiano wao ulivunjika baada ya mrembo huyo kumshutumu kwamba alitoka na dada yake na kisha rafiki yake.
Kwa maana ya Costa amesaliti kwa kutoka na dada na rafiki wa karibu wa mwanamke huyo, Michele Zouanne. Uhusiano wao wa kimapenzi ulikufa mwaka 2016 baada ya mrembo huyo kujihakikishia kwamba mpenzi wake alichepuka na mbaya zaidi amefanya hivyo na ndugu yake wa damu, kisha na rafiki yake.
Mkuu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Weeeeee!!
Hahahahaha!!! Ni kweli huwa wanalala Kazimzumbwi???Wanasema hawawezi kulala nyumba za waswahili zenye umeme maji na vyoo mpaka chumbani, watapata nuksi, kwa hapa dar wanalala kwenye msitu wa kazimzumbwi Kisarawe kudumisha mira zao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mechi ya mtifuano
Hahah!! Mkuu nakuona tu unasogeaMkuu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nitaenda makapuku nikakushtaki[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Weeeh hakuna hiyo
Hayupo na hajulikani alipo