mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
KabisaDunia ni nzuri ila walimwengu hawana maana
KabisaDunia ni nzuri ila walimwengu hawana maana
Shukrani kasmart[emoji6]Sawa shiro [emoji23],mm niko poa kabsa
Nikutakie siku njema na yenye baraka tele[emoji8]
Ledada jamanii weeh, uko poa kabisa ??[emoji137] Malcolm, mambo!?
Leo vipi wapi na wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mornn' mzee wa liver.
Si kwa kwotesheni hii.
Mkuu morningAgain
2pac shakurMe Against the World
Mkuu mkuu
Kuna mwanamuziki alitamba sana na hii song sijui kafia wapiSIFA YA MOYO TAMAA
20%Tamaa ya moyo inaweza kukuweka matatani.
Mambo vipi ?Mkuu mkuu
Malcolm Lumumba Morning mkuu
Hahaha, wakae tu watengeneze magobole mpira wawaachie wengineMalcolm Lumumba Morning mkuu
Naona watengeneza magobole wamerudi wiwandani mpira umerudi kwao
Wamejitahidi mpka robo final wamefikaHahaha, wakae tu watengeneze magobole mpira wawaachie wengine