MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Kulikua na wale washambuliaji wa nigeria mwanko kanu,taribo west,rivaldo,ricardo etc yaan jojo zililika ukimpata ronaldo bahati kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew mhenga kumbe,,, na mpira wa visoda utakuwa ulichezaTulikua tunazicheza tunazipanga nyiingi mmoja mmoja anapiga kwa mkono itakayofunguka ni yake
Hata mimi nimeshangaa Jana akula usiku au ndio mambo ya feni kaamka na njaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmh
Morning Ledada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dili badoNabil Fekir kwenda Liverpool
Mashabiki wa Liverpool walidhani kwamba Nabil Fekir angetua klabuni kwao mwezi uliopita kwa dili la Pauni 53 milioni, lakini mpango huo ulikwama dakika za mwishoni kabisa.
Morning mkuuhujambo...
Sanabaridi kali sana
MorningGood morning everyone
10:2509:00
SalamuSalaam Tanzania
Miss u sana umepotea kweli shy mambo vipi hukoJamani uzi wetu pendwa bado upo,
Nawamisi sana memba wote wa humu.
Andjul hv upo? Carba