SanaWatu wako faster
HaswaaTena wasithubutu kabisa tutaandamana [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Pamepambazuka muda wa Likeskumekucha
Mwanzilishi wa Uzi
Nimekukamata
Karibu sisi kwetu bado Eid ipo had J3freshi sana ukala mwenyewe eid hatukumbukani ndugu yangu
Wanamsingizia tu mzee wa watuhivi haya maneno anatamka mwenyewe au wanamsingizia[emoji35]![]()
Gigy MoneyDayna Nyange
Mbona itakuwa dakika zero tuDawa ya kumaliza mauaji ya kibiti na mkuranga ni kuwapelekea huu Uzi wapeane likes
Hahahaha huyu ni shidaNicolie casescu
Hata sijaenda nipo hapahapaHahhaahhaa.
carbamazepine naomba urudu usiende huko tena
Kajionee mwenyeweNgoja niende nikachungulie